Nipate lau Nafasi- Kilwa Jazz, tuambie unakumbuka nini unapousikia wimbo huu

by



DON’T MISS “VITUKO VYA MORRISON NJE YA UWANJA NA NDANI YA UWANJA” …

source

You may also like

28 comments

@abdallahalwardi588 April 3, 2025 - 1:16 pm

●yap, mchoro mchoro¡¡¡●○

@Izinzogu April 3, 2025 - 1:16 pm

Tabu Ley alichukua beats za hiki kibao

@JohanesDominick-cw8un April 3, 2025 - 1:16 pm

LLYIDIYA wewe mtoto umenifanya nifike uku

@richardsijenyi1991 April 3, 2025 - 1:16 pm

I remember early days in Mombasa na my Dad hustling

@augustabisetsa5007 April 3, 2025 - 1:16 pm

Jamani ,,, hizi nyimbo za zamani zina ujumbe ,,, siku hizi mtusiii full. Usodoma mtupuuu

@HarunaShabani-hy8mx April 3, 2025 - 1:16 pm

1997 hiyooo daaa bado kijana mbichi miaka6

@SophiaNasri-uo4ko April 3, 2025 - 1:16 pm

Dah hii nyimbo jmn nan yupo 2025 🎉❤ lidya wa bss kanifanya nije

@eliudminga6085 April 3, 2025 - 1:16 pm

Nakumbuka 1979 kibaha sekondar

@veelilyn7635 April 3, 2025 - 1:16 pm

Khamisi bss wewe ndo umefanya nitafute huu wimbo ❤❤❤❤❤❤

@veelilyn7635 April 3, 2025 - 1:16 pm

Duuh hii nyimbo ni ya mwaka gani jamani❤

@SaikoMkumbwa April 3, 2025 - 1:16 pm

Mokolo nakokufa iyooo instrumenTal

@musamwingwa6422 April 3, 2025 - 1:16 pm

Soivenir souvenir

@adambaridi2243 April 3, 2025 - 1:16 pm

Naomba mnisaidie jamani,hii nyimbo asili yake ni Tanzania au Congo?

@dennisfestus1123 April 3, 2025 - 1:16 pm

Rohoni naumia

@johnmbwambo1157 April 3, 2025 - 1:16 pm

2025,song lilibamba

@gamingace3227 April 3, 2025 - 1:16 pm

Was here in 2032

@MoshiMabula-j4t April 3, 2025 - 1:16 pm

Nani aliyetangulia kupiga beat hii kati ya kilwa jazz na Faya tess?

@michaelmkaro8456 April 3, 2025 - 1:16 pm

2025😂

@RosecharlesMollel April 3, 2025 - 1:16 pm

Mm nimekuja huku sababu ya lydia ❤ aliipatia jamani yule mdada ❤

@jassykadege3043 April 3, 2025 - 1:16 pm

2025 here we go

@MoshiMabula-j4t April 3, 2025 - 1:16 pm

Ni nani aloanza kuitumia tune hii kati ya kilwa jazz na Faya tess?

@irenemfoi-ss5cq April 3, 2025 - 1:16 pm

2025 like😊🎉

@jedidahmwadie1437 April 3, 2025 - 1:16 pm

Mokolo nakokufa

@meckalex4648 April 3, 2025 - 1:16 pm

🎉🎉🎉2025

@Sophy-cs4ch April 3, 2025 - 1:16 pm

2025 mwezi wa 1 tujuane hapaa😂😂😂

@ConfusedOpenStadium-sl1he April 3, 2025 - 1:16 pm

Nanii yupo hapa 2025 gonna link

@ZenaidaDaniel-r9d April 3, 2025 - 1:16 pm

😅😅 napenda mziki 🎧 wa zamani nimerudi 2/1/2025

@sambutilacurtainbedroomsol7431 April 3, 2025 - 1:16 pm

Mrs and Mrs Sunday mwakapangala,hapo Marehemu baba yangu akimkose mama ,ilikuwa lazima aimbe wimbo huu

Leave a Comment